Showing posts with label Lindi. Show all posts
Showing posts with label Lindi. Show all posts

Monday, June 06, 2016

RAIA WA KIGENI 4792 WAKAMATWA KWA KUKIUKA SHERIA ZA UHAMIAJI.

 Kaimu Kamishna Utawala na Fedha kutoka Jeshi la Uhamiaji Bw. Abbas Irovya wa pili kutoka kushoto akiongea na wanahabari hawapo pichani kuhusu ripoti ya operesheni mbalimbali zinazoendelea kufanyika nchini kwa lengo la kudhibiti wahamiaji haramu,wa kwanza kulia ni Mkaguzi wa Uhamiaji Bw. Leslie James Mbotta na wa kwanza kulia ni Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo Bi. Rosemary Mkandala.(Picha na Benjamin Sawe- Maelezo).