Showing posts with label Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency. Show all posts
Showing posts with label Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency. Show all posts

Thursday, February 23, 2017

ZIARA YA MKURUGENZI WA NAMAINGO KUIMARISHA UJASIRIAMALI MIKOANI

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Ubwa Ibrahim akiwa katika moja ya ,ya mikoa kukagua na kuimarisha shughuli za Wajasiriamali wanachama wa kampuni hiyo katika mikoa mbalimbali nchini. Tayari hadi ameshafanya ziara katika mikoa ya Iringa, Tabora, Kigoma, Manyara, Arusha na Kilimanjaro.

Tuesday, December 20, 2016

SERIKALI YAIPONGEZA NAMAINGO KUGAWA MIRADI YA SUNGURA KWA WAJASIRIAMALI

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Bi Ubwa Ibrahim akihutubia wakati wa uzinduzi wa kugawa miradi ya sungura kwa wajasiriamali eneo la Majohe, Dar es Salaam.