Showing posts with label Jenista Mhagama. Show all posts
Showing posts with label Jenista Mhagama. Show all posts
Friday, December 02, 2016
Tuesday, April 26, 2016
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Katikati ni Mbunge wa Urambo, Margaret Sitta.
Thursday, April 14, 2016
UTAFITI UMEONESHA KUWA ASILIMIA 71 YA WATANZANIA WANAFANYA KAZI AMBAZO HAZINA TIJAKWAO BINAFSI NA KWA TAIFA KWA UJUMLA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu),Jenista Mhagama,akizungumza katika katika uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014. Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee,Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Sensa ya watu na Takwimu za Jamii,Ephraim Kwesigabo na Mkurugenzi Mkuu wa Takwimu nchini,Dk.Albina Chuwa.
Subscribe to:
Posts (Atom)
