Showing posts with label Dk.Albina Chuwa. Show all posts
Showing posts with label Dk.Albina Chuwa. Show all posts

Thursday, April 14, 2016

UTAFITI UMEONESHA KUWA ASILIMIA 71 YA WATANZANIA WANAFANYA KAZI AMBAZO HAZINA TIJAKWAO BINAFSI NA KWA TAIFA KWA UJUMLA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu),Jenista Mhagama,akizungumza katika katika uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014. Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee,Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Sensa ya watu na Takwimu za Jamii,Ephraim Kwesigabo na Mkurugenzi Mkuu wa Takwimu nchini,Dk.Albina Chuwa.