Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Maafa Zanzibar Ali Juma wakati alipofika katika Kambi ya Skuli ya Mwanakwerekwe C Wilaya Magharibi Unguja walipohifadhiwa Wananchi wa Shehia mbali mbali waliopatwa na maafa ya Mvua leo asubuhi.
Showing posts with label Dk.Ali Mohamed Shein. Show all posts
Showing posts with label Dk.Ali Mohamed Shein. Show all posts
Wednesday, April 20, 2016
Monday, April 11, 2016
RAIS DK.SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Balozi Amina Salum Ali kuwa Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Haroun Ali Suleiman kuwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais katiba ,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora,katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,[Picha na Ikulu.]
Saturday, March 26, 2016
DK.SHEIN ASHEREHEKEA USHINDI WAKE:
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana wakati alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Salama Hotel ya Bwawani Mjini Zanzibar kuhudhuria katika Taarab rasmi ya kumpongeza kwa ushindi mkubwa wa Kishindo katika uchaguzi Mkuu wa marudio,iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Sunday, March 20, 2016
DK. SHEIN APIGA KURA UCHAGUZI WA MARUDIO KATIKA KITUO CHA KUPIGIA KURA YA SKULI YA MSINGI BUNGI WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika foleni ya wapiga kura ya Uchaguzi wa marudio katika kituo cha kupiga kura Skuli ya msingi Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja ,(wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Muslim Hija, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein akipokea karatasi ya kupigia kura kutoka kwa PA (1) Jaffar Suleiman kituo namba 1cha kupiga kura ya Uchaguzi wa Marudio Skuli ya Bungi wilaya ya Kati Unguja ,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein akipiga kura katika uchaguzi wa marudio kituo namba 1cha kupiga kura namba 1 Skuli ya msingi Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein akifanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaonesha kidole kilichoingizwa wino maalum baada ya kipiga kura ya marudio leo katika kituo namba 1cha Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali waliomsindikiza wakati alipokwenda kupiga katikauchaguzi wa marudio leo katika kituo namba 1cha Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akiiangalia karatasi ya kupigia kura katika uchaguzi wa Marudio baada ya kukabidhiwa katika chumba namba 3 cha Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja, [Picha na Ikulu.]
Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi akiwa katika maandalizi ya kupiga kura katika uchaguzi wa marudio kituo cha Skuli ya Kitope, Wilaya ya Kaskazini B , Mkoa wa Kaskazini.
Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi akipiga kura katika uchaguzi wa marudio katika kituo cha Skuli ya Kitope, Wilaya ya Kaskazini B , Mkoa wa Kaskazini.
Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi akizungumza na baadhi ya Waandishi wa Habari mara baada ya kupiga kura katika uchaguzi wa marudio kwenye kituo cha Skuli ya Kitope, Wilaya ya Kaskazini B , Mkoa wa Kaskazini.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akizungumza na Waandishi wa habari akielezea hali halisi ya mwenendo wa upigaji kura katika uchaguzi wa marudio kituo namba 1cha kupiga kura namba 1 Skuli ya msingi Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Mkazi wa chake chake akizungumza.na wanahabari ( hawapo pichani) mara baada ya kutoka kupiga kura
Baadhi ya Wakazi wa Madungu wakiangalia majina yao kwenye kituo cha kupigia kura
kituo cha kupigia kura cha skuli ya Madungu chake chake Pemba.
Baadhi ya wananchi wakihakiki majina yao kabla ya kuingia kupiga kura katika kituo cha skuli ya Raha .
Subscribe to:
Posts (Atom)












