Showing posts with label Mhe. Show all posts
Showing posts with label Mhe. Show all posts
Thursday, February 23, 2017
Tuesday, July 26, 2016
RAIS DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUWA LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Said Bakar Jecha kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar .
Saturday, May 14, 2016
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA KITUO CHA KISASA CHA HUDUMA ZA MAGARI MKOANI ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Mhe. Said Meck Saddik alipowasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu
Mkoani Arusha, baada ya kukamilisha zira yake ya kikazi katika Mikoa ya Mwanza na Geita. Katikati Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Daud Felix Ntibenda.
Mkoani Arusha, baada ya kukamilisha zira yake ya kikazi katika Mikoa ya Mwanza na Geita. Katikati Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Daud Felix Ntibenda.
Monday, April 11, 2016
RAIS DK.SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Balozi Amina Salum Ali kuwa Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Haroun Ali Suleiman kuwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais katiba ,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora,katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,[Picha na Ikulu.]
Subscribe to:
Posts (Atom)

