Showing posts with label Skuli ya Mwanakwerekwe C. Show all posts
Showing posts with label Skuli ya Mwanakwerekwe C. Show all posts

Wednesday, April 20, 2016

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MAAFA.

C1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Maafa Zanzibar Ali Juma wakati alipofika katika Kambi ya Skuli ya Mwanakwerekwe C Wilaya Magharibi Unguja walipohifadhiwa   Wananchi  wa Shehia mbali mbali waliopatwa na maafa ya Mvua leo asubuhi.