Showing posts with label siku 90.. Show all posts
Showing posts with label siku 90.. Show all posts

Friday, March 18, 2016

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA ATANGAZA ZAWADI YA MILIONI 1 KWA ASKARI POLISI ATAKAYEPAMBANA NA JAMBAZI NA KULISHINDA


Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amekutana na Kamanda wa Polisi kanda maalum Simon Sirro pamoja na Askari Polisi kwa lengo la kujionea mwenendo wa jeshi hilo ambapo wamekubaliana kutoa zawadi ya milioni moja kila baada ya miezi mitatu kwa kila Askari Polisi aliyepambana na majambazi.