Showing posts with label makamu wa pili wa serikali ya mapinduzi.Balozi Seif Ali Idd. Show all posts
Showing posts with label makamu wa pili wa serikali ya mapinduzi.Balozi Seif Ali Idd. Show all posts

Wednesday, January 20, 2016

BALOZI SEIF ALI IDD AKUTANA NA RAIS MAGUFULI IKULU NA KUMDHIBITISHIA KUWA KUNA AMANI ZANZIBAR NA WANASUBIRI TAREHE YA UCHAGUZI ITANGAZWE RASMI.

Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Balozi Seif Ali Idd amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa hali ya Zanzibar ni shwari na Wazanzibar wanasubiri kutangaziwa tarehe ya kufanyika kwa uchaguzi.