Showing posts with label kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Bw Peter Kakamba. Show all posts
Showing posts with label kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Bw Peter Kakamba. Show all posts

Monday, March 28, 2016

AJALI YA BASI LA LUPONDIJE EXPRESS KUTOKA MWANZA - IRINGA LAUA WATANO USIKU MKOANI IRINGA , DEREVA AKIMBIA:

 Askari   polisi na  wasamaria  wema  wakisaidia  kutoa maiti  kutoka katika  basi la Lupondije Express namba T 798 AKV kutoka Mwanza - Iringa baada ya  kupinduka  eneo la Mteremko wa Ipogolo mjini Iringa usiku  wa  leo 
 Gari la kikosi  cha  Zimamoto na uokoaji  likiwa  eneo la  tukio  kusaidia  kuokoa maisha ya majeruhi