Showing posts with label daraja la Kigamboni. Show all posts
Showing posts with label daraja la Kigamboni. Show all posts

Wednesday, April 20, 2016

RAIS MAGUFULI AFUNGUA DARAJA LA KIGAMBONI NA AMSIMAMISHA KAZI WILSON KABWE.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata picha ya kumbukumbu viongozi wengine baada ya  uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016.

Wednesday, March 16, 2016

DARAJA LA KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM KUFUNGULIWA RASMI MWEZI WA NNE:

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akipata maelezo kutoka kwa Meneja Msimamizi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni Eng. Karim Mattaka alipokagua daraja hilo leo jijini Dar es salaam.
 Mwonekano wa daraja la Kigamboni ambalo litafunguliwa rasmi mwezi ujao.
Barabara za maingilio (inter change) ya Daraja la Kigamboni upande wa Kurasini.