Showing posts with label ais mteule wa Marekani Bwana Donald Trump. Show all posts

Friday, November 11, 2016

RAIS WA 45 WA MAREKANI DONALD TRUMP AWEKA WAZI VIPAUMBELE VYA SERA ZAKE

Trump
Rais mteule wa Marekani Donald Trump

Image copyright
Baada ya mkutano na msemaji wa Republican Paulo Ryan, rais mteule wa Marekani Bwana Donald Trump ameeleza vipaumbele vya sera zake.

Mteule huyo amesema atapunguza kodi na kufanya mageuzi ya sekta ya huduma za afya kwa kuachana na mfumo uliowekwa na Barack Obama.