Showing posts with label Watoto na Wazee. Show all posts
Showing posts with label Watoto na Wazee. Show all posts

Wednesday, July 06, 2016

DK.KIGWANGALLA AFUNGA RASMI JUBILEE YA MIAKA 50 YA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO JIJINI MWANZA.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati mwenye suti ya bluu) akiwa katika jengo la kisasa linalojengwa kwa ajili ya Hospitali ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Jijini Mwanza.