Showing posts with label Wakili wa Utetezi. Show all posts
Showing posts with label Wakili wa Utetezi. Show all posts

Wednesday, August 24, 2016

KESI YA TUNDU LISSU YAIHIRISHWA































Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi – Kisutu, Yohanne Yongolo ameihairisha kesi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe Tundu Lissu hadi Septemba 6 mwaka huu ili kutoa uamuzi wa maombi yaliyoombwa na upande wa mshtakiwa.