Showing posts with label Tatizo la maji. Show all posts
Showing posts with label Tatizo la maji. Show all posts

Thursday, January 21, 2016

SHIRIKA LA Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO), imetangaza kuwapo tatizo la upatikanaji wa huduma ya Maji katika maeneo yote yanayohudumiwa na mtambo wa Ruvu chini ya jiji la Dar es salaam, pamoja na baadhi ya maeneo  ya mji wa Bagamoyo mkoani Pwani kutokana na mtambo huo kuzimwa kwa wastani wa saa 48 kuanzia siku ya Jumamosi 23/01/2016 hadi Jumapili 24/01/2016.