Showing posts with label Rwanda na Uganda. Show all posts
Showing posts with label Rwanda na Uganda. Show all posts

Wednesday, May 18, 2016

WANAJESHI WA DRC WANAWAUA RAIA MASHARIKI MWA NCHI HIYO

Wataalamu wa Umoja wa Mataifa katika kamati ya vikwazo vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametoa ripoti na kusema maafisa wa kijeshi nchini humo wanahusika na mauaji ya raia.