Showing posts with label Rogers Sianga. Show all posts
Showing posts with label Rogers Sianga. Show all posts

Wednesday, February 22, 2017

KAMISHNA WA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA NCHINI AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MASAUNI, JIJINI DAR ES SALAAM,

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akizungumza na Kamishna wa Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga, wakati Kamishna huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kupambana na dawa za kulenya nchini. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.