Showing posts with label Mkuu wa Mkoa wa Lindi. Show all posts
Showing posts with label Mkuu wa Mkoa wa Lindi. Show all posts

Friday, July 15, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA MADAKTARI WA KICHINA LUANGWA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na madaktari wa Kichina ambao wako wilayani Ruangwa kwa ajili ya kupima na kuwatibu wananchi bure. Mazungumzo yao yalifanyika kwenye Ikulu ndogo ya wilaya ya Ruangwa Julai 15, 2016 . Kushoto kwake ni Naibu Balozi wa China nchini, Gou Haodong na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. Wapili kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Katibu Mkuu wa Chama cha Urafiki kati ya China na Tanzania(Tanzania Chinese Associanion), Joseph Kahama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu ).

Thursday, July 14, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO KATIKA KIJIJI CHA NANGUMBU WILAYANI LUANGWA

JAL3 
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na  mkewe Mary wakisalimiana na wananchi wa kijiji cha Nangumbu wilayani Luangwa baada ya kuwasili kijijini hapo wakiwa katika ziara ya mkoa wa Lindi  Julai 14, 2016.

Monday, July 11, 2016

LINDI SEKONDARI YATEKETEA KWA MOTO :


Shule ya Sekondari ya Lindi imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia jumapili. Moto huo ambao ulianza majira ya saa saba usiku na Uliweza Kudhibitiwa kutoleta Athari zaidi baada ya Jeshi la Polisi, Kikosi cha Zimamoto na Wananchi kushirikiana kwa pamoja na kufanikiwa kuudhibiti saa Moja asubuhi ya jumapili.
Moto ukiendelea kuwaka katika moja ya majengo ya Shule hiyo.