Shule ya Sekondari ya Lindi imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia jumapili. Moto huo ambao ulianza majira ya saa saba usiku na Uliweza Kudhibitiwa kutoleta Athari zaidi baada ya Jeshi la Polisi, Kikosi cha Zimamoto na Wananchi kushirikiana kwa pamoja na kufanikiwa kuudhibiti saa Moja asubuhi ya jumapili.
Moto ukiendelea kuwaka katika moja ya majengo ya Shule hiyo.
