Showing posts with label Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana. Show all posts
Showing posts with label Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana. Show all posts

Friday, April 29, 2016

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma wakati akitokea mjini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana.