Showing posts with label Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda. Show all posts
Showing posts with label Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda. Show all posts

Tuesday, July 12, 2016

PROFESA MBARAWA AFUNGUA SEMINA YA KIMATAIFA YA WADAU WA BARABARA, AWATAKA KUJIELIMISHA HUKUSU MFUMO MPYA WA UJENZI WA BARABARA.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua rasmi semina ya wadau wa barabara mjini Arusha.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akifafanua jambo wakati wa ufunguzi wa semina ya wadau wa barabara iliyoanza mjini Arusha.