Showing posts with label Mhe. Ummy Mwalimu. Show all posts
Showing posts with label Mhe. Ummy Mwalimu. Show all posts

Monday, August 01, 2016

WATU 14 WAFARIKI KWA UGONJWA UNAOSABABISHWA NA SUMUKUVU

























Watu 14 wamefariki dunia katika wilaya za Chemba mkoani Dodoma na Kiteto mkoani Manyara kutokana na ugonjwa unaojulikana kitaalamu kama ‘Aflatoxicosis’ unaosababishwa na sumu kuvu (Aflatoxins) kwenye nafaka iliyoharibika.

Hayo yamesema na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya magonjwa ya milipuko na magonjwa mengine leo jijini Dar es Salaam. 

Friday, July 22, 2016

UMMY MWALIMU AZINDUA UJENZI WA WODI YA WAZAZI KATIKA KITUO CHA AFYA CHA GAIRO:

 Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto Ummy Mwalimu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi ya wodi ya wazazi kwenye kituo cha afya Gairo.

Thursday, April 14, 2016

WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA BARAZA LA USAJILI LA MAZINGIRA:

Waziri afya ,maendeleo ya jamii,jinsia ,wazee na watoto Ummy Mwalimu akiongea na wajumbe wa baraza jipya la usajili wa wataalam wa afya ya mazingira nchini(hawapo pichani) kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali Prof: Bakari Mohammad
Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo pamoja na maofisa mazingira wakifuatilia hotuba ya Mh. Waziri Ummy Mwalimu

Thursday, March 24, 2016

USHAURI WATOLEWA KWA VITUO BINAFSI VYA HUDUMA ZA AFYA KUTOA HUDUMA TIBA YA KIFUA KIKUU:


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Mhe. Ummy Mwalimu ametoa Rai kwa wamiliki wa vituo binafsi vya kutoa huduma za afya kupanua wigo wa huduma na kutoa matibabu ya Kifua Kikuu katika taasisi zao.

Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri huyo wakati akitoa tamko katika kuadhimisha siku ya Kifua Kikuu duniani ambapo ufanyika tarehe 24 Machi kila mwaka.