Showing posts with label Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga. Show all posts
Showing posts with label Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga. Show all posts

Monday, May 16, 2016

MAJALIWA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI UINGEREZA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza  uliopo London wakati alipowasili ubalozini hapo  kuzungumza na watanzania  waishio  nchini humo Mei  14, 2016.. Kushoto  ni  Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Msafiri Marwa.

Tuesday, April 12, 2016

WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA MAHAKAMA YA MICT:


Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Masalia ya kesi za Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (Mechanism for International Criminal Tribunals-(MICT) inayojengwa katika eneo la Lakilaki jijini Arusha, Mhe. Theodor Meron.