Showing posts with label Mbunge wa Butiama. Show all posts
Showing posts with label Mbunge wa Butiama. Show all posts

Friday, July 08, 2016

SERIKALI YAFUNGUA OFISI ZA NIMROD MKONO

Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), jana imezifungua ofisi za Kampuni maarufu ya uwakili ya Mbunge wa Butiama, Nimrod Mkono, ikiwa ni siku chache baada ya kuzifungia kwa madai kuwa kampuni hiyo inadaiwa kodi ya shilingi bilioni 1.