Showing posts with label Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT). Show all posts
Showing posts with label Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT). Show all posts

Monday, August 22, 2016

LOWASSA, MBOWE NA KATIBU MKUU CHADEMA WAANZA MIKAKATI YA UKUTA


Siku moja baada ya Chadema kutangaza safu ya Ukuta, viongozi wa chama hicho wameanza kutawanyika mikoani kuanza kutoa elimu ya mpango huo. 

Wakati mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe akiwa Kanda ya Kaskazini aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa alikuwa mkoani Mbeya na jana alishiriki ibada na kuanza vikao vya mkakati huo.