Showing posts with label Kaimu Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Dkt.Henry Mambo. Show all posts
Showing posts with label Kaimu Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Dkt.Henry Mambo. Show all posts

Friday, January 20, 2017

TPSC KUENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI WA UMMA-WAZIRI KAIRUKI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Angellah Kairuki(kushoto) akiwa na baadhi ya wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakimsikiliza kwa makini Kaimu Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Dkt.Henry Mambo wakati alipokuwa akiwaelezea maadeleo ya ukarabati wa majengo ya chuo hicho tawi la Magogonijijini Dar es Slaam, kamati ya bunge ilifanya ziara ya kikazi katika chuo hicho.