Siku ya Jumapili, tarehe 20 Machi 2016, Zanzibar itashuhudia, kwa mara nyingine tena, ubakwaji wa demokrasia kwa kufanyika kile kinachoitwa Uchaguzi wa Marudio’ kufuatia tamko binafsi la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, alilolitoa tarehe 28/10/2015 kwamba ameufuta Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25/10/2015 na matokeo yake yote.
Showing posts with label CHAMA CHA WANANCHI CUF. Show all posts
Showing posts with label CHAMA CHA WANANCHI CUF. Show all posts
Friday, March 18, 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)

