Showing posts with label Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda. Show all posts
Showing posts with label Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda. Show all posts

Monday, April 25, 2016

WAZIRI MUHONGO AWASILI JIJINI DAR AKITOKEA NCHINI UGANDA KUKAMILISHA DILI LA BOMBA LA MAFUTA:



 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kati) akiwasili jijini Dar es salaam jioni hii, akitokea Jijini Kampala alikoenda kukamilisha dili la bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, alioongozana nao ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa (kulia) pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk. Juliana Pallangyo.