Showing posts with label wakazi wa Babati Mkoani Manyara. Show all posts
Showing posts with label wakazi wa Babati Mkoani Manyara. Show all posts

Friday, May 06, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANACHI MBALIMBALI ALIPOKUWA SAFARINI KUTOKEA DODOMA KUELEKEA ARUSHA.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia na mamia ya wakazi wa Babati Mkoani Manyara waliomsimamisha wakati akitokea Dodoma kuelekea mjini Arusha.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinunua karanga kutoka kwa mjasiriamali mara baada ya kuwahutubia mamia ya wakazi wa Babati mkoani Manyara waliojitokeza katika eneo la Stendi ya Mabasi ya Babati Mkoani Manyara.