Showing posts with label viongozi wa Wilaya za Temeke na Mkuranga. Show all posts
Showing posts with label viongozi wa Wilaya za Temeke na Mkuranga. Show all posts

Tuesday, February 07, 2017

DAWA YA MSONGAMANO WA MBAGALA YAPATIKANA

MBAGALA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Wilaya za Temeke na Mkuranga kuangalia namna ya kupunguza msongamano uliopo katika eneo la Mbagala.               
Moja ya hatua alizowashauri kuchukua ni pamoja na kuhamisha kituo cha mabasi ya mikoa ya kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma kutoka Temeke hadi Mkuranga.