Showing posts with label nchini Somalia. Show all posts
Showing posts with label nchini Somalia. Show all posts

Tuesday, June 21, 2016

AL SHABAAB WAUA POLISI 5 MANDERA KENYA


Image copyrightAP
Image captionAl shabaab waua polisi 5 Mandera Kenya

Maafisa 5 wa polisi wa Kenya wameuawa mapema leo mjini Mandera katika shambulizi lililotekelezwa na wapiganaji wa kundi la wanamgambo la Al shabab kutoka Somalia.