Showing posts with label kumbukumbu ya kuzaliwa. Show all posts
Showing posts with label kumbukumbu ya kuzaliwa. Show all posts

Wednesday, June 08, 2016

KAULI YA MWANGALIZI MKUU WA WAPO MISSION INTERNATIONAL WAKATI WA KUKUMBUKA SIKU YAKE YA KUZALIWA:


Tarehe 6 mwezi wa sita mwaka huu 2016 ni siku ya kumbukumbu ya  kuzaliwa kwa Askofu wa huduma ya BCIC na mwangalizi wa WAPO mission Askofu Sylivester Gamanywa, ambaye ameandika ujumbe ufuatao kwenye akaunti yake ya facebook.
SIKU NA MWEZI KAMA LEO NILIZALIWA DUNIANI!