Showing posts with label kijiji cha mwavi kata ta Fukayosi. Show all posts
Showing posts with label kijiji cha mwavi kata ta Fukayosi. Show all posts

Monday, June 13, 2016

DC BAGAMOYO AMTUMBUA MWEKEZAJI MKOREA KWA KUMPOKONYA ARDHI NA KUIRUDISHA KWA WANANCHI.

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Majid Mwanga akizungumza na wananchi wa kijiji cha mwavi kata ta Fukayosi Wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani katika mkutano maalumu na kutatua sakata la mgogoro wa ardhi baina yao pamoja na mwekezaji Mkorea, ambaye amepokonywa hekari 131 na zimerudishwa kwa wananchi wenyewe.(PICHA NA VICTOR MASANGU)