Showing posts with label kijiji cha Parakuyo. Show all posts
Showing posts with label kijiji cha Parakuyo. Show all posts

Monday, May 30, 2016

MH. WAZIRI :JANUARY MAKAMBA ATEMBELEA WAFUGAJI:

Waziri wanchi,Ofisi ya Makamo wa Rais, Muungano na Mazingira Mh.January Makamba alitembelea Jamii ya wafugaji wa kimasai wanaoishi Mkoani Mrogoro,walayani Kilosa kata na kijiji cha Parakuyo. Waziri huyo aliwatembelea wafugaji hao kwa lengo la kuzungumza nao na kuwahamasisha wafugaji hao kuwasomesha watoto wao wa kike ili wapate elimu na kukomboa familia zao kielimu mara watakapoelimika.