Showing posts with label heroine. Show all posts
Showing posts with label heroine. Show all posts

Thursday, February 16, 2017

YUSUF MANJI KAACHIWA HURU KWA DHAMANA YA MILIONI 20

Mfanyabiashara maarufu Yusufu Manji amepata dhamana baada ya kusomewa shtaka moja la kutumia dawa za kulevya aina ya heroine.

Manji amesomewa shtaka hilo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  baada ya wakili wake Alex Mgongolwa kuiomba dhamana na Jamhuri kusema haina pingamizi kwani shtaka hilo linadhaminika.