Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa Kanisa katoliki katika sherehe za kumsimika Askofu wa jimbo la Geita, Flavian Kassala (kushoto kwake) zilizofanyika kwenye kanisa kuu katoliki mjini Geita Juni 12, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Showing posts with label Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa. Show all posts
Showing posts with label Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa. Show all posts
Monday, June 13, 2016
Thursday, June 02, 2016
Saturday, April 09, 2016
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBLEA HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA:
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua mashine ya MRI katika hospitali ya Benjamin Mkapa kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma wakati alipoitembela Aprili 9, 2016. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, , Dkt. Hamis Kigwangala.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Khamis Kigwangala wakikagua mashine ya Mobile Digital xray wakati walipotembelea hospitali ya Benjamin Mkapa kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma Aprili 9, 2016.Kulia ni Kaimu Mkuu wa Hospitali hiyo ProfesaGesai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Friday, April 08, 2016
MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI WASHIRIKI KUTOA MADA KATIKA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT) UNAOFANYIKA DODOMA.
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa, akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, WCF, Bw. Masha Mshomba, (Kushoto), baada ya kuridhishwa na maelezo ya kina kuhusu huduma na kazi zifanywazo na Mfuko huo katika kutoa mafao ya muda mfupi na fidia ya kudumu kwa Wanyakazi wa Sekta Binafsi na Umma watakaopata ajali na kuumia, kuugua ama kufariki kutokana na kazi wazifanyazo mwanzoni mwa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa Tanzania (ALAT), ulioanza mjini Dodoma Aprili 8, 2016.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi,
Subscribe to:
Posts (Atom)


