Showing posts with label Jimbo Katoliki Geita. Show all posts
Showing posts with label Jimbo Katoliki Geita. Show all posts

Monday, June 13, 2016

ILI KUPAMBANA NA RUSHWA NA UFISADI ZINAHITAJIKA JUHUDI ZA SERIKALI NA ZA VIONGOZI WA DINI

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa Kanisa katoliki katika sherehe za kumsimika Askofu wa jimbo la Geita, Flavian Kassala  (kushoto kwake) zilizofanyika kwenye kanisa kuu katoliki mjini Geita Juni 12, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)