Showing posts with label Ukarabati mkubwa wa kivuko cha MV Magogoni. Show all posts
Showing posts with label Ukarabati mkubwa wa kivuko cha MV Magogoni. Show all posts

Monday, May 16, 2016

UKARABATI WA KIVUKO CHA MV MAGOGONI WAANZA RASMI.

tem1

Ukarabati mkubwa wa kivuko cha MV Magogoni umeanza rasmi mara baada ya kusitisha huduma zake hivi karibuni.
Akizungumza mara baada ya kutembelea eneo la bandari kujionea kazi ya ukarabati kwa kivuko hicho, Kaimu Mtendaji Mkuu TEMESA Mhandisi Manase Ole-kujan amesema kazi ya ukarabati wa kivuko hicho umeanza kwa hatua za awali za kukifanyia usafi ili kuona maeneo yaliyoharibika na kuyafanyia ukarabati.