Showing posts with label Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Injinia Edwin Ngonyani. Show all posts
Showing posts with label Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Injinia Edwin Ngonyani. Show all posts

Monday, May 16, 2016

NAIBU WAZIRI INJINIA EDWIN NGONYANI AZINDUA SERA YA TEHAMA MJINI DODOMA:

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Injinia Edwin Ngonyani (wa pili kulia) akizindua Sera ya Taifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya mwaka 2016 leo mjini Dodoma. Wengine ni Mwakilishi wa Balozi wa Finland nchini Oscar Kassy(kulia) , Katibu Mkuu wa Wizara hiyo aliyeshughulikia mawasiliano Profesa Faustin Kamuzora( wa pili kushoto) na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Rehema Madenge(kushoto)