Showing posts with label TANROADS) Mkoa wa Iringa Eng. Daniel Kindole. Show all posts
Showing posts with label TANROADS) Mkoa wa Iringa Eng. Daniel Kindole. Show all posts

Saturday, June 04, 2016

PROF.MBARAWA:BARABARA YA IRINGA- DODOMA KILOMITA 260 KUFUFUA UCHUMI WA MIKOA HIYO

Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa watendaji wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mkoani Iringa. Kulia ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi na Kushoto Mkuu wa mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza.