Showing posts with label Serikali ya Qatar. Show all posts
Showing posts with label Serikali ya Qatar. Show all posts

Wednesday, December 07, 2016

WIZARA YA AFYA NCHINI YAPOKEA MSAADA WA AMBULANCE 10 TOKA SERIKALI YA QATAR

qatar
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii  Jinsia Wazee na Watoto mapema leo imepokea jumla ya Magari 10 ya kubebea Wagonjwa (Ambulance) kutoka Serikali ya Qatar yaliyopokelewa na Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Ummy Mwalimu Jijini Dar e Salaam 07 Desemba.2016.