Showing posts with label Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein. Show all posts
Showing posts with label Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein. Show all posts

Friday, June 10, 2016

DKT SHEIN AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WA SERIKALI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo vya Serikali pamoja na Viongozi wa Wizara ya Habari katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja 9/06/1026. 

Friday, June 03, 2016

UJUMBE WA JIANGSU CHINA WAKUTANA NA DKT SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu wa Chama cha Kikoministi cha China kutoka Kamati ya Jimbo la Jiangsu Bw.Luo Zhijon,(kulia) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar  jioni,[Picha na Ikulu.] 02/06/2016.