Showing posts with label Kamati ya Jimbo la Jiangsu Bw.Luo Zhijon. Show all posts
Showing posts with label Kamati ya Jimbo la Jiangsu Bw.Luo Zhijon. Show all posts

Friday, June 03, 2016

UJUMBE WA JIANGSU CHINA WAKUTANA NA DKT SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu wa Chama cha Kikoministi cha China kutoka Kamati ya Jimbo la Jiangsu Bw.Luo Zhijon,(kulia) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar  jioni,[Picha na Ikulu.] 02/06/2016.