Showing posts with label Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Show all posts
Showing posts with label Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Show all posts

Thursday, September 08, 2016

MKUTANO WA 17 WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mkutano wa 17 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kufanyika Jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameitisha Mkutano wa 17 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi Wanachama Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) utakaofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Septemba, 2016.

Saturday, August 13, 2016

RAIS MAGUFULI APOKELEWA KWA SHANGWE KATIKA OFISI YA CCM LUMUMBA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia kuwasalimia wanaCCM waliofika kumlaki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, jijini Dar es salaam akitokea jijini Mwanza.

Tuesday, April 19, 2016

DARAJA LA KIGAMBONI, WATANZANIA WAFARIJIKA, MAMIA WAENDA KULISHANGAA NA KUPIGA SELFIE

 Daraja la kiasa la Kigamboni linalounganisha eneo la Kigambonina upande wa Kurasini likikatisha bahari ya Hindi. Rais Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kulizindua rasmi daraja hilo Jumanne Aprili 19, 2016. (Picha na Khalfan Said)