Showing posts with label Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Show all posts
Showing posts with label Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Show all posts

Thursday, September 08, 2016

MKUTANO WA 17 WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mkutano wa 17 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kufanyika Jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameitisha Mkutano wa 17 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi Wanachama Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) utakaofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Septemba, 2016.