Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mngurumi akizungumza na wandishi wa habari juu ya hatua zilizochukuliwa na Manispa hiyo kwa wadaiwa Sugu wa mapato na ushuru mbalimbali, (Kulia) ni Meya wa Manispaa hiyo Charles Kuyeko na Naibu Meya , Omary Kambilamoto.