Mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt. Ghirmany Andemichael akiangalia dawa za Shirika la Msalaba mwekundu alipofika Ofisi yao waliofungua kutoa huduma katika kambi hiyo.
Afisa kutoka Shirika la WHO Zanzibar Michael Habtu akichunguza maji yanayotumika katika kambi ya maafa kujua ubora wake.