Showing posts with label Mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt. Ghirmany Andemichael. Show all posts
Showing posts with label Mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt. Ghirmany Andemichael. Show all posts

Thursday, April 21, 2016

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA KAMBI YA MAAFA ZANZIBAR.

 Mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt. Ghirmany Andemichael akiangalia dawa za Shirika la Msalaba mwekundu  alipofika  Ofisi yao waliofungua kutoa huduma katika kambi hiyo.
 Afisa kutoka Shirika la WHO Zanzibar Michael Habtu akichunguza maji yanayotumika katika kambi ya maafa kujua ubora wake.