Showing posts with label Naibu Waziri Ofisi ya Wazikri Mkuu (watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi. Show all posts
Showing posts with label Naibu Waziri Ofisi ya Wazikri Mkuu (watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi. Show all posts

Monday, December 19, 2016

MHE. DKT. POSSI AITAKA JAMII KUHESHIMU HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mhe. Selemani Mzee (wa kwanza kulia) wakati wa ziara yake katika shule ya Masasi yenye kuhudumia wenye ulemavu Mkoani Mtwara.

Monday, April 11, 2016

KANZIDATA YA WATU WENYE ULEMAVU YAZINDULIWA

Naibu Waziri Ofisi ya Wazikri Mkuu (watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Kanzidata ya watu wenye ulemavu katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Aprili 11, 2016.
Naibu Waziri Ofisi ya Wazikri Mkuu (watu wenye Ulemavu)Mhe. Dkt. Abdallah Possi akifuatilia uwasilishwaji wa takwimu za Watu wenye Ulemavu kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dk.Albina Chuwa wakati wa Uzinduzi wa kanzi data hiyo Aprili 11, 2016 Dar es Salaam.