Showing posts with label Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mhe. Selemani Mzee. Show all posts
Showing posts with label Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mhe. Selemani Mzee. Show all posts

Monday, December 19, 2016

MHE. DKT. POSSI AITAKA JAMII KUHESHIMU HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mhe. Selemani Mzee (wa kwanza kulia) wakati wa ziara yake katika shule ya Masasi yenye kuhudumia wenye ulemavu Mkoani Mtwara.